All eBooks

MAISHA NA HARAKATI ZA KAZIMOTO

Ni kazi kubwa kuandika Dibaji ya kitabu cha mtu mwenye
historia iliyotukuka kama ya ndugu yangu Nekemia Musa
Kazimoto. Aliponiomba niiandike, kwanza nilimkatalia,
baadaye nikak

  • AuthorNekemia Musa Kazimoto TANZANIA
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2011
Maisha na Ujasiri wa Mjane

Bibi Theophilda Tinkasimire Tikawa, mwandishi wa kitabu
hiki kinachosimulia maisha yake tangu kuzaliwa, kukua,
kusoma shule, kuolewa, kuajiriwa, kufiwa na mume na hatimaye
kufi

  • AuthorTheophilda Tinkasimire Tikawa
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2015
Maisha Yangu: Alhaji Abubakari R. Galiatano

Kitabu hiki kinaonyesha safari yake ndefu ya maisha yake.
Chimbuko na asili ya ukoo wa Galiatano, maisha yake,
mahangaiko na mafanikio yake. Kitabu hiki kinadhihirisha jinsi
mt

  • AuthorAbubakar Rajabu Galiatano
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2008
MAJIGAMBO YA WADUDU

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi ama kuiga, kunakili,
kutafsiri, kupiga picha au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi
nyingine yoyote ile bila idhini ya Tanzania Educational
Publi

  • AuthorJohansen N. Machume
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2002
Majukumu ya Viongozi wa Kitongoji, Mtaa, Kijiji na Kata

Mwandishi wa kitabu hiki, Al-Muswadiku K. Chamani alikuwa mwanafunzi mwenzangu katika Shule ya Sekondari Nyakato, Wilaya ya Bukoba, Mkoa wa Kagera. Baada ya hapo alijiunga na kozi ya ualimu na akaf

  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2015
Malisho ya Mifugo

Mifugo bila kupewa au kujipatia chakula haiwezi kuishi. Chakula ni muhimu kwa mifugo kama ilivyo kwa binadamu. Chakula kikuu cha mifugo ni malisho. Malisho ni mimea ya aina mbalimbali, kama vile, n

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010
Mapambano

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili,
kutafsiri, kupiga picha au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi
nyingine yoyote ile bila idhini ya Tanzania Educational
Publisher

  • AuthorJohansen N. Machume
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2002
MAPINDUZI YA KILIMO kwa Kutumia ZANA BORA ZA KILIMO

Matumizi ya Zana Bora za Kilimo ni sharti mojawapo
la kuleta Mapinduzi ya Kilimo nchini. Kuendelea kutumia
zana duni au zenye uwezo mdogo kutaendelea kudumaza
maendeleo ya kili

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010
MARAFIKI WA AJABU

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kupiga
picha au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi nyingine yoyote ile
bila idhini ya Tanzania Educational Publishers Ltd.

  • AuthorJohansen N. Machume
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2003
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU KILIMO CHA KISASA

Kitabu hiki kina maswali 243 na majibu yake ambayo yanahusu somo
la kilimo cha kisasa. Kimeandikwa kwa kuzingatia muhtasari wa kilimo
kwa shule za msingi. Kwa sababu hii kitawafaa san

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1987

Showing 91 – 100 of 218 results