All eBooks

JIFUNZE KUSTAWISHA VIAZI VITAMU

Viazi Vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya
mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Kwa kawaida viazi vitamu
hustawishwa kwa kutumia mashina ambayo huitwa marando.
Zao hili

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1992
Jifunze Ufugaji Bora wa Nguruwe

Ufugaji wa Nguruwe ni shughuli inayoweza kumwondoa mfugaji kwenye umaskini, kuipa familia yake kitoweo chenye viinilishe muhimu na kutunza mazingira. Nguruwe huzaa mara mbili kwa mwaka na kwa kila

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2009
Jitayarishe Kuhitimu Elimu ya Msingi Kiswahili

Kitabu hiki kimezingatia mada zote muhimu katika muhtasari wa somo la Kiswahili kwa Shule za Msingi. sura zimepangiliwa kwa uangalifu wa hali ya juu ili kumpatia mwanafunzi ujuzi unaotakiwa kumfany

  • AuthorWilson M. S. Kajuna na Serapion Karoli
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2022
Jithibitishie Iwapo Unamiliki Kihalali Ardhi Uliyopewa na Halmashauri za Kijiji naWilaya, Serikali Kuu na Taasisi Nyingine
  • AuthorAl-Muswadiku Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2023
Jizatiti Mitihani ya Hisabati Darasa la Nne

Utunzi wa kitabu umezingatia mada zote zinazotakiwa kufundishwa mwanafunzi wa Darasa la Kwanza hadi la Nne. Mada hizo zimechambuliwa kwa undani na kwa makini sana.
Lengo la kitabu hiki ni ku

  • AuthorMartiale K. Mbehoma na Dawson D. Mwesigwa
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021
JUHUDI NA MAARIFA KATIKA KILIMO

Kilimo ni sayansi. Kilimo ni kazi ambayo huhusika na viumbe
vyenye uhai na visivyo na uhai. Kutokana na utafiti unaoendeshwa
nchini na katika nchi za nje, kila mwaka kuna njia au mbin

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1980
Kabaka mwanga na Wafia dini ya Kikristo, Uganda

 

Tamthilia hii ina mwelekeo wa habari zinazomhusu Kabaka Mwanga II, ambaye alikuwa Kiongozi Mkuu wa Buganda, n

  • AuthorAhmad Mujaki
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2019
KAHAWA TANZANIA

Kitabu hiki, Kahawa Tanzania ni moja kati ya vitabu viwili
nilivyoviandika juu ya zao hili: Kitabu cha pili kinaitwa
Mwongozo wa Kilimo Bora cha Kahawa. Nakushauri
uwenavyo vyo

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2015
Kalamu ya Lili

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga,
kunakili, kupiga picha au kukitoa kitabu hiki kwa
jinsi nyingine yoyote ile bila idhini ya Tanzania
Educational Publishers Ltd.

  • AuthorSerapion Karoli
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2002
Kanuni 13 za Kuzalisha Ngozi Bora

Tanzania inachukua nafasi ya tatu barani Afrika kwa kuwa na mifugo mingi. Nchi ya kwanza ni Sudani ikifuatiwa na Ethiopia. Kwa sasa nchi hii ina ng’ombe zaidi ya milioni 20, mbuzi zaidi ya milion

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2015

Showing 61 – 70 of 218 results