All eBooks

MISINGI YA KILIMO BORA

Mojawapo ya matatizo ambayo yanakabili juhudi zetu za kuendeleza
uchumi na maisha yetu ni ukosefu wa vitabu vya kutosha vilivyoandikwa
katika lugha ya Kiswahili juu ya shughuli zetu m

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1976
MISITU NA HIFADHI YA MAZINGIRA

Neno ‘mazingira’ lina maana ya vitu vyote vilivyo hai na visivyo
hai vinavyomzunguka binadamu. Mazingira ni pamoja na
maliasili zinazopatikana kwenye maeneo tunayoishi. Se

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2003
Mkasa ulioleta Neema

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi ama kuiga,
kunakili, kupiga picha au kukitoa kitabu hiki
kwa jinsi nyingine yoyote ile bila idhini ya
Tanzania Educational Publishers Ltd.<

  • AuthorSalvatory A. Kaijunga
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2004
MTOTO MTUNDU

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga,
kunakili, kupiga picha au kukitoa kitabu hiki
kwa jinsi nyingine yoyote ile bila idhini ya
Tanzania Educational Publishers Ltd.

  • AuthorAngelica C. Mulokozi TANZANIA
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018
MVUA YENYE BALAA

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kupiga
picha au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi nyingine yoyote ile bila
idhini ya Tanzania Educational Publishers Ltd.

  • AuthorJohansen N. Machume
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2001
Mwanzo na Mwisho wa Uongozi wa Kisiasa

Safari ndefu huanza na hatua moja. Safari yangu ya uongozi wa kisiasa ilianza tarehe 10 Aprili, 1974, nilipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Tawi la TANU, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Iringa . Wakati huo

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2008
MWONGOZO KWA WAANDISHI WA HABARI

Mnamo tarehe 23 – 30 Agosti, 1991 kilichokuwa Chama cha Ushirika cha Waandishi na Wachapishaji cha Kagera (Kagera Writers and Publishers Co-operative Society Ltd) kiliandaa Warsha Mjini Bukob

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2004
MWONGOZO WA HIFADHI BORA YA NAFAKA NA JAMII YA MAHARAGE

Lengo la mkulima kustawisha mimea ya mazao ni hatimaye apate
mavuno mengi na yaliyo bora. Wingi wa mavuno unamaanisha uzito.
Uzito hupimwa kwa kilogramu. Kwa upande mwingine, ubora wa

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021
Mwongozo wa Kilimo Bora cha Alizeti

Alizeti ni zao linaloweza kuwakomboa wakulima kiuchumi. Pia,
huchangia pato la taifa na kuliingizia taifa fedha za kigeni kwa kuuza
bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa kutokana na mbeg

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2007
MWONGOZO WA KILIMO BORA CHA CHAI

Chai ni zao la tano baada ya korosho, pamba, kahawa na
tumbaku katika kulii ngizia taifa fedha za kigeni. Zao hili
lilianza kulimwa na Watanzania wazalendo, hususan, wakulima
w

  • AuthorFilbert Y. Kavia
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2012

Showing 111 – 120 of 218 results