All eBooks

MWONGOZO WA KILIMO BORA CHA KAHAWA

Kitabu hiki, Mwongozo wa Kilimo Bora cha Kahawa, ni moja
kati ya vitabu viwili nilivyoviandika juu ya zao hii nchini.
Kitabu kingine kinaitwa Kahawa Tanzania. Nakushauri
uwenav

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018
Mwongozo wa Kilimobiashara cha Mipapai

Kitabu kinaeleza Sayansi ya Muundo wa Mpapai; Faida zake; Aina bora na Maumbo ya Mapapai; Mifumo ya kilimo cha Mipapai; Mah

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2022
Mwongozo wa Kilimobiashara cha Parachichi

Mwongozo wa Kilimobiashara cha Parachichi

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2023
Mwongozo wa Kilimobiashara cha Vanilla

Vanila ni zao jipya nchini, lakini, limeteuliwa na serikali kuwa moja ya mazao machache ya mkakati: Vanila ni zao la kiungo ambalo hutumika kuweka harufu nzuri kwenye bidhaa mbalimbali za vinywaji,

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2023
MWONGOZO WA KUSTAWISHA MIMEA YA MATUNDA

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kutafsiri, kupiga chapa,
kunakili au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi nyingine yoyote ile bila idhini
ya maandishi ya Tanzania Educational Pub

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021
MWONGOZO WA KUSTAWISHA MIMEA YA MBOGAMBOGA

Makundi ya Mazao ya kuzalisha fedha haraka
Mtu ambaye ana mtaji wake anayetaka kutajirika haraka kutokana na
kilimo, anashauriwa awekeze kwenye Kilimobiashara cha makundi ya
ma

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021
Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Mbuzi

Asilimia 99.6 ya mbuzi wanaofugwa nchini ni wa asili wanaojulikana kama Mbuzi Wadogo wa Afrika Mashariki. Asilimia 0.4 iliyosalia ni mbuzi wa kigeni na mbuzi chotara. Kwa hiyo, kwa sasa, unapozungu

  • AuthorPius B. Ngeze,
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2004
Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Nyuki

Huko nyuma, kazi ya kufuga nyuki haikupewa kipaumbele, bali ilifanywa kama shughuli ya kurithi na kuendelezwa kienyeji bila kuweka takwimu wala kuboresha mazingira ya kufugia. Hata hivyo, sekta hii

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018
Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Samaki

Ushahidi wa maandishi kuhusu ufugaji wa samaki wa kwanza duniani ni wa mkulima wa china, Fan Lai, mwaka 475 kabla ya Kristo kuzaliwa. Hata hivyo, ufugaji wa samaki wa kisasa ulianzia nchini Ujerum

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2016
MWONGOZO WA UHASIBU WA SHAMBA

Katika kitabu hiki, neno ‘shamba’ limetumika likiwa na
maana ya eneo la ardhi ambamo shughuli mbalimbali za
kilimo, yaani, ustawishaji wa mimea ya mazao na malisho ya

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2003

Showing 121 – 130 of 218 results